Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Update:Ajali Lusanga Muhez Tanga : Watu 4 Wafariki Dunia, 15 Wajeruhiwa

Watu 4 wamefariki na 15 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugonga lori katika Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza. Bado tunafatilia Habari kwa kina


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017