Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

RAY C Afungukia Skendo Ya Kutoka Kimapenzi na Mbunge Huyu

Se*xy lady mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka kuwa hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi mbunge yoyote nchini kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakieneza ubuyu.

Ray C alisema kuwa, mbali na kufahamiana na wabunge mbalimbali nchini, lakini hata siku moja hajawahi kujiingiza kwenye uhusiano na mheshimiwa yeyote kama inavyovumishwa.
“Kwanza kwa sasa mambo ya mapenzi nimeyaweka kando, niko bize na muziki wangu, akili na hisia zangu zote nimezielekezea kwenye kazi. Muziki ndiyo kila kitu kwangu,” alisema Ray C.



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017