Wanawake
wanapenda kuwa wagumu sana kila wakati ikifikia maswala ya kuwatongoza. Ni
vizuri kuwa hivyo kwa sababu haitakuwa na maana kwa mwanaume kumpata mwanamke
yeyote bila kutoa kijasho.
Wakati mwingine inakuwa rahisi kwa mwanaume
kumsisimua mwanamke haswa ikifikia maswala ya kumshawishi.
Kuna njia tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia
kumshawishi mwanamke yeyote kuingia katika box lako. Hapa tumekurahishia kazi
kwa kukuandalia maswali ishirini ambayo ukimuuliza mwanamke yeyote utamfanya
azimie. Maswali haya unaweza kuyatumia mkiwa pamoja ama kama mwanamke anaweza
kuhisi fedheha kiasi flani basi ni vyema zaidi kutumia maswali haya katika
text, mtandaoni ama Whatsapp
Tumia maswali haya kumuuliza aidha mpenzi wako
ama ni mwanamke yeyote yule ambaye huwa unamtongoza. Unaweza kuanza na swali
lolote lile ilimradi uwe unachat na yeye muda wote. Hakikisha umetumia maswali
nyakati za usiku ili uweze kupata matokeo mazuri.
1. Uko pekeako?
Swali hili linaeleweka kuuliza kama yuko pekeake
na hana kitu cha kufanya nyumbani. Akijibu yuko pekeake. Mjibu kwa kumwambia
kuwa unatamani ungekuwa uko na yeye pale alipo sasa.
2. Unafanya nini sahizi?
Fanya kumuuliza hivi kwa umakini ili ujue kama
yuko huru ama vipi. Kama ana kazi basi itakuwa ni vigumu kwake kumakinika na
mpango mzima. So hakikisha kuwa hayuko buzy. Wanawake wengi hupenda kusema kuwa
wako kitandani hawana kitu cha kufanya.
3.Wapenda kupapaswa wakati umelala kwa kitanda?
Swali hili ni kama changamsha bongo kwake. Hii
inatoa nafasi ya kuiweka akili yake kwa chat na kuanza kuongea maswala ya
kimapenzi polepole bila kumfanya aingiwe na woga ama kushuku nia yako chafu.
4. Unavalia nini kama unaenda kulala/ umevalia nini
sasa hivi?
Hili ni swali lenye shauku kwa mwanamke ambaye
tayari amejilaza kwa kitanda. Hili ni swali la kibinafsi na bado halijatimiza
kumfanya mwanamke kuingiwa na akili ya kusisimuliwa. Akitaja kile alichovali
unafaa kumjibu kwa mfano: "Duh!, sahizi umenifanya nianze kukuwaza vile
ambavyo umerembeka".
5. Hivi waona unarembeka / sexy zaidi ukivalia
nguo gani?
Mfanye aanze kuongea mambo na nguo ambazo
akizivaa zinamfanya akuwe sexy ama zinazomrembesha. Atajieleza vile alivyo
yeye. Hapa utakuwa unamsoma akili yake iwapo anaweza kustahimili chat yako.
Akitaja anapenda kuvaa kanga, jaribu kuichafua akili yake kwa kumuuliza iwapo
amenyeshewa na mvua akiwa amevalia kanga(ama nguo yeyote) angejihisi vipi.
6. Ushawahi hata mara moja kumuona mtu mwengine
akifanya ngono kwa bahati mbaya?
Swali kama hili linawaweka nyote katika hisia za
kupandwa na nyege lakini mnaliweka swali hili kwa mtu wa tatu ili liwazuie
mjiskie huru kuendeleza na chat yenu.
7. Ushawahi kushikwa matiti na mtu yeyote
kibahati mbaya wakati mmesimama mahali hadharani penye watu wengi?
Swali kama hili linaweza lisimshangaze mwanamke
kwa sababu wanapitia mambo kama haya. Akikubali, mjibu ungetamani kuwa ni wewe
umemshika kibahati mbaya. Akijibu kwa kucheka ujue mchezo unaenda sambamba.
8. Ushawahi kufanya ngono na jamaa kwa sababu ya
kuwa ulikuwa na nyege?
Fanya kumfahamu kama ni mwanamke ambaye anaweza
kufanya ngono na mwanaume wakati ambapo anapoingiwa na nyege. Wanawake wengi
wanaweza kukataa kujibu hili swali lakini ukiona amekujibu vizuri basi
inaonyesha kuwa mwanamke huyu yuko tayari kujibu swali lolote lile ambalo
umemwandalia.
9. Kwa bahati mbaya ukimwona mwanaume akiwa uchi
ungependa kuona sehemu gani yake ya mwili kuanzia mabega kushuka chini?
Sasa hapa umeanza kuwa mkorofi kwa kuanza
kumuuliza maswali ya kiujanja. Hii itamfanya yeye aonekane ndiye anatumia
maneno machafu na wala si wewe.
10. Unapenda gani kati ya boxer ama chupi?
Hili ni swali na kumchanganya tu. Akikujibu
anapenda boxer mwambie umevalia nini. Hapa kutamfanya aanze kufikiria vile
umevalia. Ataanza kukuwaza ukiwa umevalia boxer ama chupi pekee.
11. Siri yako ni ipi ya kumpagawisha mwanaume
kihisia?
Kwa kumuuliza hivi utamfanya yeye kufikiria
akifanya mapenzi na mwanaume na atakuwa akikuelezea. Hii itamfanya yeye
kuingiwa na mawazo ya ngono. Wakati uo huo anaweza kukueleza zaidi kuhusu kwa
nini yeye ni bingwa wa kupagawisha mtu.
12. Kama kuna sehemu ambayo mwanaume anayoweza
kukugusa na kukufanya kuingiwa na unyevu ingekuwa ni ipi?
Hili ni swali la moja kwa moja ambalo litamfanya
kupandwa na kuingiwa na nyege. Kama atalijibu na ukweli wake wote, basi fahamu
ya kuwa atakuwa amepandwa na nyege.
13. Je ukipapaswa mwili mzima unaweza kuingiwa
na unyevu?
Wanawake wengi wakipapaswa vizuri kwa kawaida
huingiwa na unyevu. Hivyo unaweza
kumjibu kuwa wewe una ustadi wa aina hio so ukikutana na yeye hilo ndilo jambo
la kwanza la kumfanya ili kumsisimua.
14. Kama nimekupiga busu kwa bahati mbaya wakati
nakuaga, utanichukulia vibaya?
Swali kama hili litamfanya kuanza kufikiria busu
lako kama lingekuwaje.
15. Mwili wangu ungeuona wa kuvutia ukiwa na
manywele ama ukiwa umenyolewa?
Swali kama hili fasta litampa taswira ya wewe
ukiwa uchi kwa madakika fulani akikuona ukiwa na manywele ama umenyolewa.
16. Kama wataka kufanya mapenzi na mwanaume
ungependa wewe kuanza ama yeye?
Swali hili litamfanya afikirie akiwa uchi tayari
kufanya ngono.
17. Kitu gani mwanaume anachofaa kukufanyia ili
uingiwe na unyevu?
Hapa unaingia direct kwa swali ambalo ni tamu.
Akikujibu vizuri unafaa urudie tena swali la 12 ili apate kukuelezea kwa kina.
18. Kama ningekuwa nakunongonezea maswali haya
yote kwa sikio lako, je ningekusisimua kihisia?
Kama umeifanya hii chat imeenda vizuri, kufikia
sasa inafaa kuwa huyo mwanamke ameingiwa na unyevu kitambo. So kwako ni
kumsikia mwenyewe kama atakujibu nini.
19. Kama haungekuwa na boyfriend, je mimi na
wewe tungeweza kufaana? ? Kama ningekuwa na wewe sahizi tungeweza kulana dende?
Swali kama hili laweza kukufanya ulazwe kwa
kitanda, lakini hili swali la mwisho ndio litafunga mchezo
20. Kama mwanaume yeyote muda huu angekuja sehemu
unayoishi na kufanya ngono na wewe ungeipenda?
Usijizungumze kuhusu wewe wakati unapomuulizwa
maswali kama haya. Lazima uhakikishe ya kuwa anakutaka. Akijibu 'ndio' kimbia
fasta kushinda fastjet hadikwa nyumba anayoishi. La sivyo, hakikisha kutumia
mbinu nyingine za ushawishi hadi atakapokuruhusu uende nyumbani kwake.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini