Wataalam wa
magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo yanaweza kuwapata
kina mama na wasichana wenye tabia ya kuvaa
nguo za ndani wakati wa kulala, maumbile ya kike yanaitaji kupumua ili
kuzuia
maambukizi kama vile fangasi ndio maana madaktari wanashauri kulala bila nguo
au kuvaa vinguo vyepesi..
Dr. Grace Obong,
anasema ya kwamba wakati wa mchana wanawake pia huvaa chupi mbalimbali na nguo
za kubana ambazo ufanya sehemu zao za siri kupumua kwa shida sana anaendelea
kwa kusema kuwa ingawa inashauriwa wanawake kvaa material aina ya pamba lakini
wanawake wengi hawapendelei kabisa aina hiyo ya nguo za ndani hivyo ni muhimu
wakati wa kulala usiku kuacha maumbile yapumue vizuri...
Dr huyo anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama baadhi ya
magonjwa au maambukizi yatokanayo na kukiuka hayo hapo juu ni pamoja na
Bacterial vaginosis Maumbile ya kike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo hu
balance bacteria wabaya ni wengi ukilinganisha na bacteria wazuri . Maambukizi
yaitwayo Bacterial vaginosis hutokea pale mlingano huu
unaposhindwa kubalansi. mwanamke mwenye maambukizi
upata adha ya kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya na pia wachache hulalamika
kupata harufu ya shombo la samaki .Mara baada ya tendo la
ndoa majimaji hayo yanaweza kuwa na rangi ya maziwa au grey
na dalili zngine ni kuungua wakati wa kukojoa magonjwa mengine ni kama yeast
infection na mengine mengi.. Dr anamaliza kwa kusema ni muda wa kulala
natural na kuepuka unyevu unyevu usiokuwa wa lazima huko chini
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini