Kuna
baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au
wapenzi wao basi mboo zao ziwe zinasimama muda mrefu mathalani masaa matatu au
manne au zaidi huku wakimwaga shahawa eti tu wawaridhishe wenzi wao au ili
waonekane ni wanaume waliokamilika.
Wanaume wengine wamekuwa wakitumia dawa za
kusimamisha mboo kama vile viagra au dawa za asili na zingine maarufu kama dawa
za kimasai! Napenda nikwambie kwamba hizo dawa zina madhara makubwa kwa urijali
wako na uko hatarini kuupoteza hata huo urijali mdogo uliosalia!
Kusimamisha mboo kwa muda mrefu na mara nyingine
kiasi cha kufikia mboo inaanza
kuuma kutokana na kusimama muda mrefu tayari ni ugonjwa. Kwa maneno rahisi ni
kwamba umetumia dawa za kuongeza nguvu ili kuua nguvu chache ulizokuwa nazo.
Kitalaamu hali hiyo ya mboo kusimama muda mrefu na kuuma inaitwa 'Priapism'.
Priapism hutokea pale mboo inapopoteza uwezo wake wa kuondoa damu iliyoko
kwenye mboo hiyo (ambayo hufanya isimame) ili isinyae (in order to become
flaccid). Hiyo hali ikidumu kwa muda wa masaa manne husababisha seli za damu
iliyoko kwenye mboo kukosa hewa ya oksijeni, hivyo kupelekea tishu katika mboo
kufa. Na kadri hali hiyo inavyoendelea hupelekea damu kwenye mboo kuwa na asidi
na hivyo kukosa uwezo wa kusafiri au kutembea kwenda sehemu zingine za mwili
hususan kwenye moyo! Hapo hali inakuwa mbaya sana!
Kuna wanaume wengine wanaji-overdose viagra au
madawa ya kienyeji ili wawe wanaume shababi kwelikweli kumbe ndio wanaua mboo
zao. Ndio maana watu wanaotumia madawa hayo baada ya muda fulani hali zao za
kiume zinakuwa mbaya zaidi afadhali ya jana! Ndio maana humu katika blog
nimesisitiza sana matumizi ya vyakula na viungo kama tiba ya tatizo la ngivu za
kiume! Siwashauri kutumia hayo madawa, otherwise, keep using them for your own
risk!
Bahati mbaya au vyovyote vile kama umesimamisha
mboo masaa kadhaa hakikisha katika kipindi cha ndani ya masaa manne tafuta tiba
haraka kwa daktari! Wengine baada ya kutumia hayo madawa na mboo kusimama kama
msumari masaa mengi wao hudhani dawa ni kufanya mapenzi masaa mengi na mwanamke
ili kuondokana na hali hiyo! Tena wengine ndo hufurahia eti 'leo mwanamke
fulani nitamfaidi kweli...'. My brother you are killing yourself'!!! Hutoweza
kumkomoa mwanamke kwa kufanya mapenzi! Matibabu ya tatizo hilo ni kunyonya damu
kwa kutumia sindano itakayochomwa kwenye mshipa wa damu uitwayo vein kwenye
mboo yako! Mwisho nakushauri kula sana vyakula vya asili kama matunda na mboga
za majani. Usisahau mazoezi ya viungo. Next time tutaona namna ya kukabiliana
na tatizo la nguvu za kiume ingawa nimegusia gusia katika bloga hii katika mada
kadhaa!
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini