Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Rais Wa TFF Ameeleza Sababu Za Fainali Ya FA Kuchezwa Dodoma


Moja kati ya stori iliyochukua headlines katika soka ni kuhusiana na nchezo wa fainali ya Kombe la FA utakaozikutanisha Simba na Mbao FC ya Mwanza May 28 2017, awali kuna stori zilienea kuwa mchezo huo utachezwa Dodoma lakini baadae Rais wa TFF Jamal Malinzi alisema watachezesha droo kumpata mwenyeji.
Leo May 2 2017 ametangaza kuwa wamefikia makubaliano ya game hiyo kuchezwa Dodoma katika uwanja wa Jamhuri“Mchezo wa fainali ya FA ulikuwa ichezeshwe droo ili kumpata mwenyeji kwakuwa siku ya kuchezesha droo ya nusu fainali jambo hili lilisahaulika, droo haitakuwepo kutokana na uwanja wa Taifa utakuwa katika matengenezo”

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017