Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Vijue Vitu Vitano Vinavyomaliza Chaji Kwa Haraka Kwenye Simu Yako


1. Uwashaji wa bluetooth.

2. WI-FI.

3. Mwanga wa simu- blightnes.

4. Vibration- mngurumo.

5. Wallpaper zinazobadilika.

Hivyo ili kuepuka kumaliza chaji katika simu yako, yaepuke mambo ambayo nimeyaainisha hapo juu.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017