Kwa mujibu wa UNDP na msaada wa mtandao wa answers.com umetabainisha kuhusu nchi kumi ambazo zinaongoza kwa wasomi . na wasomi hao ni wale ambao wamepata kuanzia degree moja.
Na nchi hizo ni;
- Zimbabwe.
- Tunisia.
- Nigeria.
- Misri.
- Afrika kusini.
- Ghana
- Kenye
- Uganda
- Zambia.
- M oroco.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini