Mambo haya ni kustajabisha sana kama si kukustajabisha basi yatakuacha mdomo wazi,
- Nzi huishi siku saba tu katika mzunguko wake wa maisha yake.
- Mende anaweza kuishi siku tisa bila kuwa na kichwa.
- Wanyama amabao hawewezi kuruka juu kwa miguu yote miwili ni tembo, kifaru na kiboko.
- Katika misuli ya binadamu, misuli ambayo hufanya kazi nyingi na kwa uimara zaidi ni misuli ya ulimi.
- Samaki aina ya starfish ndiye samaki amabye hana ubongo.
- Usipoitesa akili yako ukiwa kijana utautesa mwili wako ukiwa mzee.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini