Hatua hiyo inakuja baada ya Benki Kuu ya Uganda kutoa tamko kuvitaka Vyombo vya Dola kuwachukulia hatua waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Don ikiwa ni siku tatu baada ya mazishi ya Mfanyabiashara huyo maarufu.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini