Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Spika Job Ndugai Atangaza Jimbo La Singida Kaskazini Liko Wazi



Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai amwmuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mheshimiwa Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kumfamisha kuwa Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Ndg. Lazaro S. Nyalandu kufutwa uanachama na Chama cha Mapinduzi.



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017