Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

TOP 10 :Haya Ndo Makabila Ya Tanzania yenye Wasichana Warembo Zaidi,Bofya Hapa Kuyatazama


Tanzania ni nchi pekee Afrika yenye makabila mengi yasiyopungua 120, katika hayo makabila kila tabia lina sifa zake zinazowatofautisha na kabila lingine. Kwa mfano, Ukichukua wamasai na Wahaya, ni makabila mawili yenye utofauti mkubwa sana kwenye kila kitu hadi muonekano wao.

Nikisema nichambue kila kabila na sifa zake nahisi sitomaliza kuandika leo, ila kwa kifupi sana leo nawaletea makabila 10 hapa Tanzania ambayo Wanawake wake ni warembo saana na kiukweli ukiwaona asilimia kubwa na warembo, wana mvuto, wanajua kujipenda n.k. Makabila hayo ni
 1. Wambulu 

2. Wachaga 

3. Wanyaturu 

4. Wanyamwezi 

5. Wahaya 

6. Wasambaa

 7. Wahehe

 8. Wanyakyusa.

 9. Wazaramo 

10. Wasukuma

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017