Baada ya ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Mbeya City, huku magoli ya Yanga yakifungwa na Obrey Chirwa matatu na Emmanuel Martin mawili, Afisa Habari wa Simba Haji Manara pamoja na utani wake leo kawapongeza na hiki ndicho alichokiandika katika ukurasa wake wa Instagram.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini