Simba imeshinda kwa bao 1-0 dhidi ya Prisons ya Mbeya na kufanikiwa kuondoka na pointi zote sita katika mechi zake mbili dhidi ya timu za Mbeya.
Mechi iliyopita, Simba ilishinda kwa idadi hiyo dhidi ya MBeya City.
Shujaa wa leo upande wa Simba amekuwa John Bocco ambaye amefunga bao katika dakika ya 84 wakati wengi waliamini mechi ilikuwa inakwnda kuwa sare.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini