Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Taarifa Rasmi Ya Yanga Kama Kamusoko Na Tambwe Wanaweza Kucheza Leo

Kuelekea mchezo kati ya Yanga na Mbeya City leo 19.11.2017 katika uwanja wa Uhuru Klabu ya Yanga kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha habari na mawasiliano Dismas Ten amesema Kwasasa Kamusoko na Tambwe wako vizuri kulingana na ripoti ya madaktari na itakuwa ni uamuzi wa Benchi la Ufundi kucheza au kutokucheza.

Tambwe na Kamusoko walikuwa na majeraha na walikuwa chini ya Uangalizi wa madaktari maalumu taarifa yao ya mwisho ilithibitisha kuwa sasa wako tayari kuanza mazoezi na wameanza mazoezi siku nne zilizopita wako tayari kwenye kikosi kwahiyo ni maamuzi ya benchi la ufundi kuamua kuwatumia sasa au katika mechi nyingine.
Kamusoko msomaji wa Kwataunit.com amekuwa majeruhi na kumfanya kuzikosa mechi kadhaa za Yanga msimu huu wakati Upande wa Tambwe akiwa hajacheza mchezo wowote ule wa Ligi Kuu msimu Huu.

Ten pia amesema katika mchezo wa Leo wanaingia kuhakikisha wanapata matokeo ya points tatu Muhimu ili kuzidi kujiimarisha katika ligi kuu. Like Ukurasa wetu wa Facebook kupata Kila Details kuelekea mchezo huo wa Leo.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017