Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

List Ya Miji Michafu Zaidi Afrika 2017 Imetoka, Tanzania Yatoa Mji Mmoja



Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.

Afrika kusini inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 13 ikifuatiwa na Nigeria ambayo imeingiza miji 12 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki huku Morogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017