Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter
Showing posts with label VICHEKESHO. Show all posts
Showing posts with label VICHEKESHO. Show all posts

VIDEO:Tajiri Mtata Wa Nyumba Za Bilioni 2 Aitaja Kazi Yake Na Kwanini Alijitokeza Kuzinunua

Gumzo la Dar es salaam leo ni kuhusu Tajiri Mtata ambae alijitokeza kwenye mnada kununua nyumba za LUGUMI zenye gharama ya BILIONI 2 za Kitanzania zilizokua zinapigwa mnada na YONO.
Muda mfupi baada ya kushinda mnada huo na kupata nyumba 3, Dr. Luis Shika alikamatwa na Polisi kwa kuvuruga mnada na kushindwa kutimiza sharti la kulipa asilimia 25 ya gharama huku akisema hajatembea na hizo pesa.
Kwenye hii video hapa chini Dr. Shika anatueleza yeye ni nani na anafanya kazi gani na alijitokeza kununua hizi nyumba kwa matumizi gani, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Credit:Millard Ayo

MC Pilipili Akiri Kutembea Na Mastaa Hawa


MCHEKESHAJI mahiri, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ ameweka wazi kuwa Miss Shinyanga na mshiriki wa Miss Tanzania 2014, Nicole Sarakikya na mwigizaji Rose Ndauka kwa nyakati tofauti ametembea nao lakini kwa sasa kila mtu ana maisha yake.

Pilipili alifunguka hayo hivi karibuni baada ya mwanahabari wetu kumtaka aweke ukweli juu ya warembo tofauti ambao anatajwa kuanguka nao dhambini akiwemo Nicole, Rose na msanii wa Bongo Fleva, Nandy.

“Nandy ni mshikaji tu hakuna chochote zaidi ya urafiki wa kawaida. Rose Ndauka na Nicole ni kweli nimetembea nao lakini wote siko nao kwa sasa, wamebaki kuwa marafiki wa kawaida tu,” alisema Pilipili.

Watu Wasiojulikana Wanataka Kumuua Mzee Majuto!

TAKRIBAN siku 10 baada ya kudai kutapeliwa milioni 25 na kampuni moja ya filamu (jina linahifadhiwa) mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, staa wa filamu za vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefunguka kuwa, kuna watu wasiojulikana wanaotaka kumuua.

Chanzo makini kililieleza  kuwa, staa huyo tangu atoe malalamiko ya kutapeliwa fedha zake hizo kwa Waziri Mwakyembe, amekuwa akiishi kwa wasiwasi huku akihisi kwamba anaweza kuuawa na watu wasiojulikana  kwa kuwa tu amedai haki yake.

“Yaani Mzee Majuto hana amani kabisa, amekuwa akilalamika kwamba kuna watu wanataka kumuua kwa kuwa tu alidai haki yake na mpaka sasa hajapata hata shilingi moja yupo tu, anahofia kuendelea kudai tena baada ya kumweleza waziri siku zilizopita na alipoteza namba yake ya simu kwenye ndege hivyo ameamua kunyamaza tu sasa,” kilieleza chanzo kutoka Tanga anapoishi Mzee Majuto.

Tuliingia mzigoni ili kuujua ukweli ambapo lilimtafuta Mzee Majuto akiwa nyumbani kwake, Tanga ambapo alikiri kweli kwamba kwa sasa anaogopa kuendelea kudai kwani anatishiwa kunyongwa au kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

“Licha ya kumweleza Waziri Mwakyembe, lakini mpaka sasa sijalipwa chochote na ninaogopa kuendelea kudai kwani natishiwa kuuawa, si unajua siku hizi mtu ukidai haki yako unaweza kunyongwa au ukiwa barazani kwako ukashtukia unapigwa risasi na watu wasiojulikana.

“Nilikuwa na namba ya Waziri Mwakyembe, nilimpigia mara moja baada ya siku zile kuniahidi atalishughulikia suala langu, lakini aliniambia yupo kwenye kikao nimtafute wakati mwingine.
 Usipitwe na Habari Muhimu, Install App  Yetu


Android ===>  Bofya hapa
“Siku chache baadaye nikiwa ninasafiri kwenye ndege nilipoteza simu na namba
ikapotelea hukohuko hivyo imebidi sasa nitulie nimwachie tu Mungu atanilipia hizo fedha ninazodai maana naogopa kunyongwa jamani,” alisema Mzee Majuto.

AMKUMBUSHA WAZIRI
Hata hivyo, Mzee Majuto alimkumbusha Wazi Mwakyembe kuhusiana na suala hilo ili amsaidie kwani peke yake ameshindwa kuendelea kudai kwa kuwa ana hofu kwamba anaweza kufanyiwa kitu mbaya.

TUJIKUMBUSHE
Oktoba 27, mwaka huu, Waziri Mwakyembe alikutana na wasanii mbalimbali kujadili changamoto za kazi ya sanaa nchini na kusema katika vitu ambavyo atapambana navyo ni pamoja na watu wanaowadhulumu wasanii haki yao na kuwaibia kazi zao za sanaa.

Waziri Mwakyembe alisema: “Mzee Majuto akaniomba kitu kimoja na kuniambia anaumwa anahitaji pesa, lakini ameshafanya kazi na kampuni (akaitaja) na ameshatengeneza filamu zaidi ya 100 kwa mkataba wa kulipwa fedha ndogo tu, shilingi milioni 25, lakini huu ni mwaka wa pili hajalipwa hata senti tano na nilimuahidi kulishughulikia.”

Waziri Mwakyembe aliendelea kufafanua kuwa kwa sasa yupo tayari kutumia fedha zake mfukoni kuhakikisha Mzee Majuto anapata haki yake kwa kazi mbalimbali alizofanya na kampuni hiyo.

VIDEO:Hali Ya Sasa Ya Vengu Wa Orijino Komedi

kuhusu hali ya afya ya sasa ya Vengu ambae tulimfahamu kwa kazi yake ya uchekeshaji kwenye kundi la Orijino Komedi.
Baada ya Vengu kutoendelea kuonekana hadharani kwa miaka, Seki ambae ni kiongozi wa kundi hilo amesema>>> “Vengu ameshavuka hatua za kukaa Hospitalini na sasa yuko nyumbani anamalizia hatua nyingine ya matibabu ambayo ni nje ya Hospitali
Tazama hii video hapa chini kupata maelezo zaidi…

Usipitwe na Habari Muhimu, Install App  Yetu


Android ===>  Bofya hapa

Video:Hivi Ndivyo Joti na Mkewe Wanavyokula Bata Mbugani Katika Fungate Yao

Hivi Ndivyo Joti na Mkewe Wanavyokula Raha Katika Fungate Yao
Mara baada ya kufunga ndoa weekend iliyopita, mchekeshaji Joti na mkewe wameamua kusherekea fungate yao katika mbuga ya wanyama ya Serengeti.

Kwenye ukrasa wake wa instagram aliposti video mbili na kuandika maneno haya
Usipitwe na Habari Muhimu, Install App  Yetu


Android ===>  Bofya hapa
"Baba anapotafuta furaha yake ni kuona Familia inakula pamoja,ila hii familia hapana kwa kweli,🤣🤣#FarufaruSerengeti @juma_jux @vanessamdee @bernabeu_madrid @missmandoza
Kwenye maisha sio kila vita ni ya kwako,Na sio kila vita inakuhusu,Jifunze kuzitazama na kuzikagua kwanza ili kuzipima vita zinazokujia tokea mbali,ili ufanye maamuzi ya kuingia au kutokuingia,ukiparamia kila vita mwishoni utagundua kuwa umepoteza nguvu nyingi na akili kupambana na maadui ambao wala hawakuwahi kuwa adui zako,ukiingilia vita isio yako utashindwa kirahisi hata kama ulikuwa mtu wa kushinda,Chagua vita unayoweza kupambana nayo..🙏🙏#saboracamp#OurSingita#SingitaSaboraCamp 

Mambo 8 Ya Vituko Na Kusisimua Yaliyotokea Kwenye Harusi Ya Joti (+Video)

Joti ni Mchekeshaji maarufu wa Tanzania na harusi yake ilitawaliwa pia na baadhi ya vituko vya hapa na pale, hii video fupi hapa chini itakukutanisha na mambo 8 ya vituko pamoja na kusisimua kutoka kwenye harusi hiyo

Mwakyembe Aingilia Kati Sakata la Mzee Majuto Kudhulumiwa Mamilioni ya Pesa

Waziri wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara wake kuhakikisha anawafunga watu hao.

Mwakyembe amesema hayo leo Oktoba 27, 2017 alipokutana na wasanii mbalimbali kujadili changamoto za kazi ya sanaa nchini na kusema katika vitu ambavyo atapambana navyo ni pamoja na watu wanaowadhurumu wasanii haki yao na kuwaibia kazi zao za sanaa.

"Nilipopita Tanga nilikutana msanii nguli wa filamu Mzee Majuto nilikwenda kumjulia hali na bahati nzuri saizi anaendelea vizuri, Mzee Majuto akaniomba kitu kimoja na kuniambia naumwa nahitaji pesa lakini nimeshafanya kazi na kampuni hii akanionyesha na kuwa ameshatengeneza filamu zaidi ya 100 na kampuni hiyo kwa mkataba wa kulipwa fedha ndogo tu shilingi milioni 25 lakini huu ni mwaka wa  pili hajalipwa hata senti tano sasa hayo ndiyo mambo ambayo sifurahii, nimeshapeleka taarifa kwa hiyo kampuni tukutane Dar es Salaam na Dodoma asipokuja tunajua njia za kumsafirisha kwenye kalandinga mpaka Dodoma, huu ni wizi kama wizi wa kwenda kumchomolea mtu mfukoni" alisisitiza Mwakyembe

Waziri Mwakyembe aliendelea kufafanua kuwa kwa sasa yupo tayari kutumia pesa zake mfukoni kuhakikisha Mzee Majuto anapata haki yake kwa kazi mbalimbali alizofanya na kampuni hiyo.

"Mzee Majuto alikwenda Mwanza na familia kupokea ule mzigo, meneja kwa kumuheshimu akamfuata na kumwambia hiyo cheki hata senti tano hakuna na cheki iliyobaundi ni kosa la jinai, tunachezea watu hivi. 

"Mzee Majuto ameacha familia yake, amekaa Mwanza zaidi ya miezi sita anahangaika kuzipata hizo pesa, na mimi niko tayari nitatumia hata mshahara wangu twende mahakamani tufunge watu tumeshachoka huko ni kudharau watu" alisema Mwakyembe

Mwezi Agosti Waziri Mwakyembe alimtembelea msanii nguli na mkongwe wa filamu nchini Mzee Majuto nyumbani kwake ambapo alikwenda kumjulia hali baada ya kupata taarifa kuwa anaumwa.

Ebitoke Akubali Yaishe kwa Ben Pol 'Mapenzi ni Hisia Siwezi Nikakosa Furaha Nimeamua Nimuache'

Ebitoke Akubali Yaishe kwa Ben Pol 'Mapenzi ni Hisia Siwezi Nikakosa Furaha Nimeamua Nimuache'

Mchekeshaji wa kundi la Timamu Africa, Ebitoke amesema ameamua kumuacha Ben Pol aliyekuwa akidaiwa kuwa mpenzi wake kipindi cha nyuma.

Kauli ya Ebitoke inakuja mara baada ya drama za hapa na pale hivi karibuni kuwa wawili hao wamezinguana licha ya wao kutopenda kuliweka hilo wazi. Akizungumza na Papaso ya TBC Fm Ebitoke amesema kutokana na ubize wa Ben Pol na malengo yake ameamua kumuacha.

“Unajua mapenzi ni hisia, nahisi nilikuwa kama namlazimisha lakini nimegundua siwezi nikakosa furaha nikashindwa kufanya baadhi ya malengo yangu, kwa hiyo nimeamua kumuacha afanye maisha yake, ameniacha na mimi nimemuacha tu, nimeamua kutulia nifanye mambo yangu” amesema Ebitoke.

Katika hatua nyingine amesema kwa sasa hawezi kuja kumtangaza mpenzi wake hadharani na kitu alichojifunza ni kukaa kimya katika maisha ya kimahusiano. 

Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia)

Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia)
Huyu kijana alijizolea umaarufu miaka ya nyuma kutokana na tabia yake ya kulia lia sana pale timu yake ya Yanga ilipokuwa ikipokea kichapo alikuwa anashindwa kabisa kujizuia vile vile alihangaika kushiriki kwenye mashindano ya bongo star search lakini hakupata nafasi.



Hii picha kipindi analia baada ya yanga kupokea kichapo
hapa kipindi anatafuta nafasi Bongo  Star Search
 Hapa kipindi anatafuta nafasi Bongo  Star Search



Huu sasa ndio muonekano wa sasa baada ya kula kitengo pale AZAM na yanga kawahama kabisa

NB:jamaa mwanzoni alionekana kama kituko sasa hivi kala kitengo hata harmorapa akiendeleza janja janja za kiki atatusua tu siku moja.

Mzee Majuto: Nasubiria Safari Yangu Ya Mwisho


Msanii wa vichekesho Mzee Majuto amefunguka na kusema sanaa imembadilisha maisha na kudai ameweza kujenga nyumba kubwa tatu, ameweza kununua magari matano pamoja na kumiliki shamba lenye ukubwa wa ekari tano.

Mzee Majuto amedai kuwa ameanza kufanikiwa katika sanaa baada ua kuanza kujitegemea mwenyewe kwenye kazi zake, hivyo amedai kwa mafanikio ambayo amepata sasa inatosha
ameamua kuachana na kazi hiyo ya kuingiza, ingawa anasema matangazo yupo tayari kufanya ila si uigizaji tena.

"Zamani sanaa ilikuwa ya mkandamizano sana lakini baadaye nilipata mafanikio nilikuwa sina nyumba saizi nina nyumba tatu, nikaweza kuwa na magari matano hiace nne na Noah moja na nikaweza kusomesha watoto wangu wengine wakifika mpaka chuo kikuu, nashukuru Mungu nimejenga msikiti na madrasa nina shamba langu kubwa zuri tu, hivyo nasubiri safari ambayo haina kipingamizi lazima tuondoke ambayo ni kufa, kwa hiyo saizi mimi sanaa basi labda mtu akiniita kuna tangazo nitamfanyia tangazo lake nikimaliza narudi shambani kwangu kumtumikia Mungu na kuomba toba" alisema Mzee Majuto.

Wiki kadhaa zilizopita Mzee Majuto alifanyia upasuaji kutokana na tatizo lake la ngiri lakini mpaka sasa anaendelea vyema .

Mzee Majuto Atangaza Maamuzi Mazito Kuhusu Yeye Kuwa Msanii

Msanii wa vichekesho Mzee Majuto amefunguka na kusema sanaa imembadilisha maisha na kudai ameweza kujenga nyumba kubwa tatu, ameweza kununua magari matano pamoja na kumiliki shamba lenye ukubwa wa ekari tano.

Mzee Majuto amedai kuwa ameanza kufanikiwa katika sanaa baada ua kuanza kujitegemea mwenyewe kwenye kazi zake, hivyo amedai kwa mafanikio ambayo amepata sasa inatosha
ameamua kuachana na kazi hiyo ya kuingiza, ingawa anasema matangazo yupo tayari kufanya ila si uigizaji tena. 

"Zamani sanaa ilikuwa ya mkandamizano sana lakini baadaye nilipata mafanikio nilikuwa sina nyumba saizi nina nyumba tatu, nikaweza kuwa na magari matano hiace nne na Noah moja na nikaweza kusomesha watoto wangu wengine wakifika mpaka chuo kikuu, nashukuru Mungu nimejenga msikiti na madrasa nina shamba langu kubwa zuri tu, hivyo nasubiri safari ambayo haina kipingamizi lazima tuondoke ambayo ni kufa, kwa hiyo saizi mimi sanaa basi labda mtu akiniita kuna tangazo nitamfanyia tangazo lake nikimaliza narudi shambani kwangu kumtumikia Mungu na kuomba toba" alisema Mzee Majuto.
Wiki kadhaa zilizopita Mzee Majuto alifanyia upasuaji kutokana na tatizo lake la ngiri lakini mpaka sasa anaendelea vyema , hata hivyo leo Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alimtembelea Mzee Majuto nyumbani kwake jijini Tanga na kumpa pole kwa kuugua. 

Zijue Njia Rahisi za Kujua Kama we Mwanaume Una Nguvu za Kiume au Unachafua tu Wenzako Sita Kwa Sita


  1. Kama ukiwa umekaa mahala popote halafu akapita Mwanamke mwenye Inye Ndembendembe ( Matako / Makalio ) makubwa halafu ukimwangalia tu huyo Mwanamke Uume / Mkuyenge wako haushtuki na haudindi / hausimami jua imeshakula Kwako na sasa Wewe ni Joka la Kibisa tu.
  2. Kama ukiona umeingia tu ama Gesti / Loji au Chumbani kumbandua / kufanya Mapenzi na mwenza wako halafu hadi unavua nguo na unalala Kitandani kuanza Shughuli bado tu hujadindisha / hujasimamisha basi jua ya kwamba tayari imeshakula Kwako andika tu maumivu.
  3. Ukiona umemaliza tu mshindo wa Bao / Kupizi / Kupiga Bao halafu huyo Mwanamke unayembandua hajakukumbatia tena kwa Kukukaba kama wale Vibaka wa Mchikichini Ilala nyuma ya Kiwanda cha Bia TBL basi jua tu kwamba imeshakula Kwako na anza tu Kuungama kwa Mungu wako.
  4. Ukiona tokea umeamka asubuhi hadi usiku unaenda Kulala mnara haujasimama hata mara moja tu kivyake basi jua ya kwamba tayari imeshakula Kwako na jiandae tu Kuchapiwa na wenye nguvu zao.
  5. Kama ukiona Mwanamke / Mpenzi wako uliyenae Kwako ndiyo mwenye Sauti, Amri na ndiyo mpangaji wa kila kitu hapo huku Wewe ukiwa ni Msikilizaji tu na Kukubali jua una tatizo kubwa sana na lililotukuka mno la upungufu wa nguvu za Kiume ( mgongesha Besela ) kwani kwa Saikolojia ya Wanawake pindi akishajua Mwanaume aliyenae ni Kamilifu Kinguvu za Kiume huwa wanawaheshimu na kuwaogopa sana.


Ni hayo wadau hivyo naomba kila Mwanaume mwenzangu hapo ulipo hebu anza Kujitathmini mwenyewe na kisirisiri kutokana na hizo dalili saba ( 5 ) za hapo juu kisha mniletee mrejesho ila nimeamua tu kuwapeni hizo dalili za awali ili niwasaidieni tu msipoteze Pesa zenu kuzunguka Mahospitalini au kwa Waganga wa Kienyeji kutafuta Kiini cha tatizo hilo ambalo kwa sasa limekuwa ndiyo Kero namba moko / moja kwa Wanaume wengi nchini Tanzania.

Kila la kheri.

Nawasilisha

BY GENTAMYCINE

Msanii Ebitoke Aanza Kuchat Na Ben Pol Laivu



Msanii Mchekeshaji Ebitoke baada ya kutamka mtandaoni kuitaka ndoa na msanii Ben Po lakini kubwa zaidi aliomba nafasi ya kukutana naye ili aweze kumueleza Ana kwa ana, Ben Pol alikubali la ombi hill la kukutana nacye.

Tumepiga stori na Ebitoke kutaka kujua kama tayari ameshaonana na Ben Pol? Amejibu kuwa Mpaka sasa hawajaonana Ila Wanachati sana na kupigiana simu!

Sakata la Makinikia: Wananchi wa Tarime Walivyovamia Mgodi wa North Mara

Wanachi wakiwa wamekusanyika kuzuia uchimbaji wa madini kuendelea kwenye mgodi huo.
Siku  chache baada ya Rais Dk. John Magufuli  kukabidhiwa ripoti ya pili ya kuchunguza mchanga wa dhahabu wa Kampuni ya Madini ya Acacia, wananchi wa Tarime wamevamia mgodi wa North Mara kwa siku mbili mfululizo.
Hatua hiyo inaelezwa kuwa ni mwendelezo wa kupinga uonevu unaofanywa na wawekezaji hao kupitia Kampuni ya Acacia.
Taarifa kutoka wilayani Tarime zinadai  kuwa wananchi hao walivamia mgodi huo juzi saa 2.00 usiku na jana asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, wananchi hao walikwenda hadi kwenye mtambo wa kufua dhahabu na   kufanya uharibifu   huo kabla ya kudhibitiwa na jeshi la polisi.
Hata hivyo shuhuda huyo ambaye hakutaka kutaja jina , alisema vurugu hizo zimetokana na uongozi wa Kampuni ya Acacia kushindwa kuwalipa fidia wananchi waliokuwa na maeneo yao tangu  awali.
Alisema wakati madini yalipogundulika,   wananchi walioondolewa walitathiminiwa mali zao yakiwamo mashamba, nyumba na kuahidiwa kulipwa fidia akini hadi sasa hawajalipwa stahiki zao.
Alisema kwa siku mbili mfululizo  wanachi wenye madai yao walifika katika ofisi za kampuni  na kuona baadhi ya majina ya wanaotakiwa kulipwa fidia yakiwa yamebandikwa katika ubao wa matangazo lakini majina ya wengine yakiwa hayajabandikwa.
“Wale ambao hawakuona majina yao walichukuana na kuvamia   mtambo  wa kufua madini na kuondoka na mawe  ambayo tunahisi mengine yana dhahabu.
 
“Lakini polisi walifika na kuwatawanya na  mabomu ya machozi,’’ kilisema chanzo cha habari hiyo.
Alipotafutwa kuzungumzia suala hilo, Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga,   alisema alikuwa kwenye kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ingawa aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari leo.
“Nimesema hivi, siwezi kuzungumza lolote, sina cha kuzungumza na siwezi kuzungumza na mwandishi hadi hapo tutakapokaa kikao kesho (leo) ndiyo nitasema,’’alisema Luoga.
Alipotafutwa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (Chadema)   kujua kama hatua ya wananchi hao inatokana na kauli yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni kuwa atawaongoza wananchi   kuwaondoa Acacia kwa kuwa wamekuwa wakiwaibia kama ilivyoelezwa kwenye ripoti ya Tume ya Rais Magufuli, alisema kwa sasa yupo  Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge .
Alisema  anachojua ni kuwa wananchi hao wamekuwa wakidai malipo yao kwa muda mrefu.
“Wananchi wamekuwa na malalamiko wakidai malipo yao na tayari mgodi umeshaleta madhara mengi, hilo naweza kusema lakini mengine zaidi ya hayo siwezi kuyajua,’’ alisema Heche.

VIDEO: Tazama Joti Akipatashida Kuliingiza Zigo Lake Geto


VIDEO:Mrembo Aliyeumbuka Kwenye Tv Baada Ya Nguo Yake Kuchanika, Afanya Upasuaji Kuongeza Makalio


Bila shaka utakuwa ulikukutana na video iliyosambaa sana mitandaoni ikimuonesha mrembo mmoja akiumbuka baada ya nguo yake kuchanika na kumwacha mtupu wakati kipindi kikiwa hewani kwenye Tv.Mrembo huyo anaitwa, Lateysha Grace ni mtangazaji wa Tv na pia alikuwa mshiriki wa Big Brother UK mwaka huu ameamua kufanya surgery kwa mara ya tatu ili kuongeza makalio baada ya tukio la aibu kumkuta akiwa hewani.




Imeripotiwa kuwa mrembo huyo ametumia zaidi ya £4,000 kufanikisha zoezi hilo huku akidai kuwa hatoacha kufanya surgery hadi atakapolizika, huku bado akiwa na plan ya kufanya surgey nyingine kwenye mwili wake.

Ben Pol Akiri Kuvutiwa Na Mchekeshaji Ebitoke..Afunguka Haya Makubwa


Baada ya msanii wa RnB Ben Pol kuonana na mchekeshaji kutoka Timamu African Media, Ebitoke aliyefunguka kumpenda muimbaji huyo, Ben Pol amefunguka kuhusu ujasiri wa mchekeshaji huyo.

Muimbaji huyo alipost picha ya mrembo huyo  na kuandika “Watu wengi wenye mafanikio makubwa Duniani walishapitia hatua ya “Kutokueleweka” either na jamii zao au hata na watu wao wa karibu. Usikubali kuyumbishwa kwenye Malengo uliyojiwekea. #Focus #Tuesdaymotivation 💪🏽,” aliandika Ben.

Huwenda baada ya wawili hao kuonana, wameweza kuongea na kuelewana mpaka Ebitoke kufikia hatua ya kujiita Ebi Pol.

Ebitoke amekuwa akiandika katika mtandao wa Instagram kumpenda msanii huyo na kuamua kuwajibu baadhi ya watu kuwa yeye ni sealed na sio used, pia thamani yake sio makeup ya kichina.

EXCLUSIVE: Mchekeshaji Ebitoke Aahidi Kujitunza Kwa Ajili Ya Ben Pol

Ebitoke

Moja ya story kubwa hivi sasa ambayo ina-make headlines ni kuhusu Mchekeshaji Ebitoke kuweka wazi akieleza hisia zake kuwa siku moja anatamani kuwa mke wa staa wa RnB Bongo Ben Pol.

Kwenye EXCLUSIVE Interview na Ayo TV na millardayo.com Ebitoke ameeleza kila kitu kuhusu anavyohisi kila anapomuona Ben Pol na namna alivyojiweka tayari kuwa mke wa staa huyo Bongofleva akidai kuwa hakuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yeyote kwa ajili ya Ben Pol akisema ameumia baada ya kujua ana mtoto. 


Msanii Ben Pol Akubali Ombi La Mchekeshaji Ebitoke


Baada ya ombi la mchekeshaji anaekuja kwa kasi kutoka Timamu African Media, Ebitoke la kuweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol huku akimtaka amuoe ikibidi, hatimae mkali huyo wa RnB amemjibu kwa kusema atafurahi wakionana uso kwa uso.

Ben Pol amesema maombi hayo ya mrembo ‘Ebitoke’ aliyaona mitandaoni tangia jana ila hakuamini kwani alijua ni stori tuu za mitandaoni mpaka leo baada ya kuona video ikisambaa Instagram ikimuonesha mrembo huyo akibubujikwa na machozi huku akimtaka amuoe.

“Kweli nimeziona habari mitandaoni tuu tangia jana watu wakiposti lakini sikuamini siunajua habari za mitandao bro! ila leo pia nimeona video yake akisisitiza ombi lake lakini bado siamini na nitaamini na nitafurahi kama tukionana uso kwa uso.”amesema Ben Pol kwenye mahojiano yake na Bongo5.

Hata hivyo Ben Pol amesema anaheshimu sana hisia za kila mtu na kitendo cha Ebitoke kutamka hadharani kuwa anavutiwa nae amekiheshimu na kukichukulia kwa uzito.

“Kwanza niseme tuu naheshimu hisia za kila mtu yeye ni binadamu na ameonesha hisia zake soo naziheshimu sana.“amesema Ben Pol.

Ben Pol ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Tatu’ aliyomshirikisha Darassa, wiki tatu zilizopita alikuwa ni gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha iliyoleta utata mitandaoni.

VIDEO:Msanii Ebitoke Alia Hadharani Akimtaka Ben Paul Kimapenzi


Msanii wa vichekesho Anna Exavery a.k.a Ebitoke amefunguka na kusema yupo serious akimtaka Ben Paul awe mpenzi wake


Amedai ameanza kumzimia kitambo kabla hajawa maarufu ial hkuweza kuonana nae kwa kuwa alikuwa hafahamiki

Ameongezea ujumbe wake akimuonyesha mtoto wake umemuumiza sana kwakuwa alikuwa anasubiria jibu kutoka kwake,
Pia kuna siku alipost picha na kuandika ujumbe wake kisha Ben Paul akamjibu na kumuonyesha alama za love akadhani amemuelewa ila kuja kuona kwenye akaunt yake akashangaa kuona picha ya mtoto wake lakini mtoto wake anaweza kuishi nae akamlea,

Amedai ameongea akilia kwa sababu anaumia na skendo yake ya kupakwa mafuta haijali sababu anampenda mnoo Mtazame Akilia Kwa Machozi: 
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017