Miaka ya hivi karibuni kumekua wimbi kubwa la madhebu mabimbali ya dini ya kikristo kuibuka...Sio Mbaya sana kwani hata viwanda vya pombe, na kumbi za disco nyingi hufunguliwa...
But kwa hili ni fungua mwaka. Baada ya mchungaji Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries katika mji wa Pretoria nchini Africa ya kusini kuwambia waumini watoke nje wale majani ili wawe karibu na Mungu. Daah hii hatari sana.
Jionee mwenye picha 10 za tukio zima.....Kuna moja anawakanyaga waumini wake.....Mchungaji anambwewe sana.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini