Priyanka Chopra
Mtoto wa kike kumtega mwanaume sio issue kubwa sana ila kumtega mwanaume wa mtu hapo ndipo shida inaanziaga.Noma kilo kumi inakuja pale ambapo unamtega Kiongozi mkubwa Serekalini kama Rais au Waziri Mkuu wewe unakuwa na Vita na Mke wa Waziri Mkuu au First Lady.
Sasa mpya ni hii ambayo imemtokea Puani Muigizaji maarufu wa India ambaye anafanya kazi zake za sanaa huko Holywood Marekani, Priyanka Chopra ambaye amejuta Kupost Picha akiwa na Waziri Mkuu wa India India Narendra Modi ambapo walikutana majuzi kwa ajili ya Mazungumzo ya jinsi ya Kuipeleka zaidi Sanaa ya India Marekani kwenye Soko Kubwa.
Priyanka Chopra
Mwanadada huyo amejikuta akiyaoga Matusi kwa nguo aliyokuwa ameivaa ambayo inaonekana moja kwa moja kwamba alikuwa na Mpango wa Kumtega Waziri huyo Mkuu ambaye mara nyingi kwenye Interview alionekana akiangalia Maeneo ya Chini ya Mwanadada huyo zaidi ya Maeneo ya Usoni.Watu wengi wamekichukulia Kitendo cha kuonyesha miguu yake ikiwa wazi mbele ya kiongozi huyo kimeonekana kama amemkosea sana heshima Mh. Waziri huku wengi wakisema kutokana na Uvaaji ule atakuwa ametengua Swaum ya Mheshimiwa Waziri Mkuu.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini

