MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul anadaiwa kufunga ndoa na mpenzi wake na kufanya sherehe kimya kimya na kuhudhuriwa na watu wachache.
Irene amesema hakupendelea picha za mume wake zionekane kwani hapendelei maisha yake nje ya kazi yafahamike sana.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini