Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO: Familia Yasusia Maiti yaitaka Polisi wakiri Kuua kimakosa


Familia ya Marehemu Salum Mohammed Almasi aliyeuwawa na Jeshi la Polisi jijini kwa kupigwa risasi Dar es Salaam kwa kudaiwa kuwa ni Jambazi, Familia ya Marehemu imesema kuwa haitaweza kupokea Mwili wa Ndugu yao mpaka Jeshi la Polisi limsafishe pamoja na kukiri kumua kimakosa.


Msemaji wa Familia ya Marehemu Salumu, ametoa tamko kwa niaba ya familia hiyo.

Tarehe 14 Mei, 2017,  Salum Muhamed Almasi aliuwawa  kwa kupigwa risasi na Polisi majira ya saa 3:00,  na saa 4:00, asubuhi eneo la Kurasini Dar es Salaam,


Tazama Video hii Share na Usishau Kusubcribe Muungwana Tv.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017