Hakika Hakuna asiyejua mabigwa wakiki hapa bongo kama sio Harmorapa mzee wa nundu na mwanadada Gigymoney mwenye instagram yake, na mwishoni mwa wiki hii wameingia katika choo kimoja na kuanza kutupiana maneno.
Tumefanikiwa kuidaka interview ya Gigymoney akimshushia kichambo kikali Harmorapa kwa madai ya kuwa asizitafute kiki na baadala yake apige kazi sana watu wamue na apate pesa kwa jasho lake.
GigyMoney Amtoea Uvivu Harmorapa Kuhusu Kutafuta kiki kuliko kufanya kazi itakayo mpa pesa.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini