Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Picha 7 za Diamond akiwa amevaa Msalaba

Nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ameendelea kuzua maswali kuwa ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason au La? tetesi hizo zilianza kitambo lakini sasa zimeshika kasi baada ya kuonekana amevaa cheni za misalaba kwenye moja ya video yake aliyotoa hivi karibuni ya 'ENEKA', Kwamujibu wa wataalamu wa mambo wanadai msalaba pia umo kwenye listi ya alama za Freemason

Tazama picha hapo chini...







Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017