Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Jackline Wolper Hajaipenda Hii Katuni......Tazama Hapa Alivyomchana Madee

Muigizaji wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper  hajapenda kitendo cha msanii mwenzake kumtengezea katuni aliyoitumia katika video yake bila makubaliano  na hivyo kamvaa na kumpa ONYO Kali.

Kupitia amtandao wa Instagram Wolper ameandika maneno yanayoashiria kukerwa na kitendo hicho cha msanii wa muziki, Madee a.k.a Rais wa Manzese na kumtaka msanii huyo awasiliana naye endapo atahitaji kufanya biashara hiyo.

"Embu ona jamani macho natia huruma kama na upwiro kilo 200 …hii mikaka yetu yakibongo kuna mida inaboa kuna mida inakuwa powa ..sasa Madee Rais wamnzese nikuulize swali…ulishindwa nini kunyanyua ka cm kako nakunipgia ata kinafk nakunambia unanivdio queen katuni sjui sanam unajua wewe…." Ameandika Wolper na kuongeza;

"Acha dharau wewe pumbavu piga cm omba kwanza….ata kma umlipi m2 sisi tunasaidiana wote wasanii leo kwangu kesho kwako,🙄👉. nakunishika kimahaba umenishika una dhambi wewe kaka na suit umenivalia kma unaenda kutoa posa kwa masawe🙄..sasa onyooo siku nyingne ombaga utapewa acha kuparamia kama vile unaomba round kwa kimada wako kwanza unitafute utoe ata faini ya kuniweka macho kama nimevuta ugoro…ila nyimbo kali nisiwe mchoyo nanimependa idea ila mwambie alinichonga nakunipa hyo shepu nitampasua 🙄"

Madee alitumia sura ya Wolper katika video yake mpya ‘Sikila’ ambayo amemshirikisha Tekno kutoka nchini Nigeria. 


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017