Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Kesi Ya Rugemalira, Singasinga Yapigwa Kalenda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi inayowakabili mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder  Singh Sethi maarufu kama ‘Singasinga’ na  mfanyabiashara James Rugemalirawanaokabiliwa na mashtaka 12, yakiwemo ya kutakatisha fedha na kuisababishia serikali hasara.

Kesi hiyo iliyokuwa isikilizwe na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi ambaye hakuwepo ilipangiwa Hakimu mwingine Cyprian Mkeha aliyeiahirisha hadi Agosti 31 mwaka huu, baada ya wakili wa serikali, kueleza kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017