Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Povu la Idriss Sultan Kwa Wasichana Wanaopiga Picha za Uchi na Kujiita Models.....

Povu la Idriss Sultan Kwa Wasichana Wanaopiga Picha za Uchi na Kujiita Models.....
By @idrissultan -
 "Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a model, Lorraine is a model, Julitha, Cherie , Dax is a model, Ben breaker ni model, Lota, Dieitrich ni model na wengine wengi tu wanafanya runways na billboards na hata wale wanaofanya social media kwaajili ya maduka etc etc wapewe heshima yao... Huu upuuzi watu wanafanya na kusingizia ni modeling is rubbish kabisa unatangaza brand gani ? Vumbi ? Majani ? Mataulo ? ... Photographers wakiboya washaona gia ya kuwavua nguo ni kuwaita studio kuwagonga nude pics na kuwaambia nyie models ... Nyinyi ni Vyuchi sio models. Professional VYUCHI, international VYUCHI, overseas VYUCHI, VYUCHI unlimited supply ‍♂️ hawa VYUCHI hawatuachi salama ​" Idriss Sultan

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017