Jumamosi hii bosi wa kituo cha EFM, Majay amesherekea siku yake ya kuzaliwa – Hamisa Mobetto ambaye pia ni ex wake hakubaki nyuma kumuandikia ujumbe mzuri.
Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameandika
“Happy Birthday Baba Fantasy … Ahsante Kwa kua Baba bora Na zaidi Kwa Mwanetu. M/Mungu Akutunze, Akulinde Na Akuzidishie Maendeleo Tele . Tunakupenda sana & Thank you for always being here ๐๐พ๐ #coparentingatitsfinest @majizzo.”
Majay na Hamisa waliwahi kuwa na mahusiano ambapo walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla ya kuachana.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini