Picha 2 za gari la Meja Jenerali Mritaba, baada yaa shambulio la jana usiku na majambazi waliomfuata akitokea benki, Jenerali alipona na ameshatolewa risasi mwilini na alitembelewa na Rais leo mchana.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka