Mwanadada maarufu wa nchini Nairobi Vera Sidika amewatolea povu wasicha wa nchini Nigeria wanaosema wasichana Wageni wanawachukulia Mabwana zao akiwemo yeye.
Vera ameandika kwenye mtandao wake wa Instagram akisema ni vichekesho sana kuona wasicha hao wa Nigeria wanasema wanaibiwa mabwana zao wote na wasicha wageni .
Amesema wanatakiwa wawadhibiti wanaume wao wasiwe na mahusiano na wasicha wanaotoka nchi zingine na sio kutoa lawama kwani wanaume hao ndo huwafuata wageni.
"Mnatakiwa mjiulize wenyewe kwanini hii inatokea wanaume zenu wanatufuata sisi wageni na kuwaacha nyie na sio kuwanyooshe
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini