Serikali imesitisha uchapishaji na usambazaji wa gazeti la Tanzania Daima kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Oktoba 24, 2017.
Uamuzi huo umetokana na makosa makubwa katika toleo na. 4706 la Oktoba 22, 2017 likiwa na habari ya uongo kuwa “Asilimia 67 ya Watanzania Wanatumia ARVs”
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini