kauli inatoka kwenye siku ya kwanza ya ziara ya siku mbili ya Rais Magufuli Mwanza, amehutubia Wananchi kwenye viwanja vya Mwatex Nyakato na moja ya nukuu za kauli zake ni hii ya “siku hizi hawapumui na wakipumua wanapumulia gerezani” tazama hii video hapa chini kupata yote mengine aliyoyasema Mr. President
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini