Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wanafanya uchunguzi juu ya tukio la kuuawa kwa mzee wa miaka 60 na mwili wake kutelekezwa barabarani,Mwili huo ambao uligunduliwa leo asubuhi katika eneo la Riruta huku sehemu zake za siri kukutwa zikiwa zimekatwa.
Mwili huo wa marehemu ambao bado haujajulikana ni nani, umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti wakati uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo ukiendelea.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini