Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mmoja Wa Wakurugenzi Wa Kampuni Ya Acacia Ambaye Ni Mtanzania Wa Hapa Hapa

Image may contain: 1 person, text
Balozi Juma Mwapachu ni mmoja wa Wakurugenzi wa ACACIA, kampuni ya kuchimba na kusafirisha Mchanga wa Dhahabu ambaye imekuwa kwenye matatizo makubwa na Rais Magufuli kwa kutuhumiwa kulidanganya Taifa na kutuibia jumla ya Tsh. Trillioni 108 katika Miaka 17 iliyofanya biashara hapa Tanzania.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017