
Mbunge wa zamani na mfanyabiashara maarufu kutoka Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amezikwa leo June 6, 2017 nyumbani kwake KDC Moshi huku mazishi yake yakihudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo viongozi mbalimbali.
Kutoka eneo la mazishi nimekukusanyia picha 21 za tukio zima la mazishi.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini

