Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Angalia Picha Wachezaji Wa England Walivyopelekwa Kwenye Mazoezi Ya Kijeshi

Kawaida ya mazoezi ya mpira wa miguu ni tofauti sana na mazoezi ya Vyombo vya Usalama kwa sababu hata mazoezi ya Vyombo hivyo ni tofauti na ya mpira wa miguu ingawa pia navyo huwa na michezo mbalimbali.Story kubwa iliyonifikia leo June 6, 2017 ni hii ya wachezaji wa Timu ya Taifa la Englandkupelekwa jeshini ambapo unaambiwa wamelekewa kwenye Kambi ya kijeshi kujifunza uzalendo kwa saa 48 wakati wakijiandaa na mechi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Scotland Jumamosi ijayo.Washuhudie kwenye hizi picha saba ujionee namna Gary Cahill, Harry Kane, Dele Alli,Raheem Sterling na wengine walivyopigishwa matizi ya kijeshi… 
       


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017