Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO: Mke wa Mwenyekiti wa Kijiji Aliyetekwa Kibiti Asimulia A-Z Mumewe Alivyotekwa

KUFUATIA tukio la kutisha la Bakari Mtoteke, Mwenyekiti wa Kijiji (CUF), kutekwa na watu wasiojulikana na kisha kutokomea naye kusikojulikana, Global TV Online imemtafuta mke wa kiongozi huyo aliyetekwa ambapo amefunguka jinsi tukio zima lilivyokuwa.
Mama huyo ameeleza kuwa, ilikuwa majira ya saa mbili kasoro za usiku ambapo mumewe huyo alikuwa ameenda msikitini baada ya kuwa ameshafuturu. Baadaye alisikia sauti za watu nje, akahisi labda mumewe amerejea, muda mfupi baadaye, waliingia ndani kwa nguvu wakiwa wamevalia mavazi kama maninja.
Mwanamke huyo anaendelea kueleza kuwa walipoingia, walimuweka chini ya ulinzi na muda mfupi baadaye, simu ya mwanamke huyo iliingia meseji, ndipo walipomlazimisha ampigie simu mumewe na kumueleza kwamba kuna wageni lakini alipokataa, walimshikia bastola na kutishia kumuua…………

FULL STORY…. TAZAMA VIDEO HII MKE AKIFUNGUKA



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017