Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mwili wa Mtu Aliyekufa Wakutwa Ufukweni Kawe Jijini Dar Ndani ya Kiroba


Mwili wa mtu asiyejulikana umekutwa kwenye fukwe za Kawe ukiwa umefungwa kwenye kiroba asubuhi ya jana 

Mashuhuda wanasema kuwa wavuvi wameusogeza ufukweni hapo, na kuucha, Jeshi la Polisi lilitaarifiwa na kuelekea sehemu ya tukio mwili ulipopatikana kwa uchunguzi zaidi...

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017