Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Wolper: Siachi kuwa na viben ten


Msanii Jacline Wolper amewataka watu waache kumsema vibaya kuhusu mahusiano yake, na kuwataka wamuige kwenye maisha.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, Jackline Wolper amesema kitendo cha kumsema vibaya wakati wanaomsema hawana vigezo vya kuongea hivyo, ni ujinga na upuuzi na badala yake amewataka wamuige kwenye kutengeneza pesa, kwani ndiyo jambo la msingi kwake.

Wolper amesema suala la kuwa kwenye mahusiano na watu ambao walishamzidi umri alishawahi kufanya hivyo, lakini hakuna cha maana alichokipata zaidi ya maumivu, na kwamba sasa anaangalia amani ya moyo wake.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017