Wakili Walter Goodluck ambae ni Wakili wa Hamisa Mobetto kwenye kesi dhidi ya Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambapo amefunguka baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo.
Goodluck amesema “Kimsingi shauri halijafutwa na kimsingi sio kwamba Hamisa Mobetto ameshindwa hiyo kesi bali kilichotokea ni maswala ya uchapaji, kuna makosa ya kiuchapaji yalitokea na wenzetu wa upande wa pili wanaomuwakilisha Diamond waliweka pingamizi la kisheria kutokana na yale makosa ya uchapaji”
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini