Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mastaa Wanne Wa Mamilioni Wachelewesha Ubingwa Simba


Klabu ya Simba imejikuta katika hasara kubwa baada ya mastraika wake wanne wanaolipwa jumla ya Sh19.3 milioni kila mwezi kufunga mabao manne tu tangu kuanza kwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara.
Mastraika hao ni Laudit Mavugo aliyefunga mawili, John Bocco na Juma Liuzio waliofunga moja kila mmoja pamoja na Nicholas Gyan ambaye hajafunga bao lolote msimu huu.
Nyota hao wanne ndiyo mastraika tegemeo Msimbazi lakini kasi yao ya kupachika mabao hairidhishi baada ya kufunga mabao hayo manne tu katika mechi tisa.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017