Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Patrice Evra Akivuta Gari Kwa Mikono Na Kutoa Maneno Baada Ya Kufungiwa Na UEFA

Shirikisho la soka Ulaya UEFA Ijumaa ya November 10 2017 lilitangaza kumuadhibu beki wa kimataifa wa Ufaransa anaeichezea Olympique Marseilleya Patrice Evra kwa kosa la kumpiga Shabiki wao wakiwa Ureno kwenye mchezo wa Europa League.
UEFA walitangaza kumfungia Evra kucheza mashindano yoyote ya UEFA hadi mwezi June 2018 kwa kosa la kumpiga teke shabiki, adhabu ambayo imepelekea Marseille wavunje mkataba na Evra lakini leo Evra amepost video Instagram ikimuonesha akivuta gari huko Dubai.
>>KUSOMA HABARI NYINGI ZA MICHEZO BOFYA HAPA<<
Wakati mwingine maisha unaweza kufikiri ni magumu sana lakini siku zote inatakiwa uishi na kutabasamu, naapa kwa Mungu nitarudi nikiwa imara zaidi ya ambavyo nimewahi kuwa usikubali kuwa mzembe nataka kuwa bora kuliko nilivyokuwa awali” – Patrice Evra

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017