Gazeti la Tanzania Daima limeandikia barua ya kuomba radhi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas baada ya gazeti hilo kutoa taarifa yenye kichwa cha habari ‘Asilimia 67 ya Watanzania wanatumia Dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi’.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini